Mbio za Moscow Zafungua Fursa Kubwa Kwa Wanariadha
Makala ya 12 ya mbio za marathoni za Moscow yanatarajiwa kufanyika tarehe 21 mwezi huu katika mji mkuu wa Urusi, huku zaidi ya wanariadha 50,000 wakitarajiwa kushiriki katika mashindano hayo makubwa ya mbio za umbali mrefu. Wanariadha kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Kenya, India, China, Kyrgyzstan, Morocco, Belarus, Ethiopia, Afrika Kusini na mengineyo watapambana kwa nguvu […]
Read More