Mtayarishaji wa muziki nchini Kenya Motif Di Don adokeza mpango wa kugeukia uimbaji

Mtayarishaji wa muziki nchini Kenya Motif Di Don adokeza mpango wa kugeukia uimbaji

Prodyuza Motif Di Don amefunguka mpango kuachana kabisa masuala ya kutayarisha muziki na badala yake kugeukia usanii wa kuimba nyimbo. Kwenye mahojiano na SPM Buzz Don amesema mwakani atazindua rasmi kazi zake kama mwimbaji huku akidai kuwa amejipanga kuanza safari yake mpya kwenye muziki. Prodyuza huyo amesema mwaka 2022 hajakuwa akionekana sana akitayarisha nyimbo za wasanii […]

Read More