MOTOROLA YATAMBULISHA TEKNOLOJIA YAKE MPYA YA “SPACE CHARGING”
Motorola imetambulisha teknolojia yake mpya ya “Space Charging” ambayo ipo katika kifaa ambacho kinaweza kuchaji simu nne kwa pamoja katika umbali wa mita tatu. Charging system mpya ya Motorola ina uwezo wa kuchaji simu kwa over-the-air wireless kama ilivyo teknolojia ya Xiaomi Mi Air Charge iliyotoka mwaka huu. Ni teknolojia ambazo zinachaji simu ikiwa karibu […]
Read More