MOTRA THE FUTURE AACHIA EP YAKE MPYA
Rappa Motra The Future ameachia Extended Playlist (EP) yake mpya inayokwenda kwa jina la “Baba Ako” yenye jumla ya ngoma sita. Kwenye EP hiyo, Motra awameshirikisha wasanii kama G Nako, Jaivah na Bytar Beast. Ngoma zinazopatikana kwenye Ep yake ni pamoja na “On Fire”, “Wauwe”, “Pisi Mawenge”, “How we do”, “A Town” na “Wape”. Motra […]
Read More