Director Tosh Gitonga Awataka Wakenya Wapinge Uharamia wa Filamu
Mkurugenzi maarufu wa filamu nchini Kenya, Tosh Gitonga, ametoa wito kwa mashabiki na watazamaji wa filamu kuangalia kazi yake mpya The Inside Job kupitia Netflix badala ya kusubiri matoleo ya wizi yanayosambazwa kwenye majukwaa kama Movie Box. Filamu hiyo, inayowashirikisha wachekeshaji maarufu Mammito na Jacky Vike (maarufu kama Awinja), tayari imeanza kuvutia hisia za watazamaji […]
Read More