Moya David Aanza Safari ya Gym Baada ya Mashabiki Kumshauri Apunguze Kitambi

Moya David Aanza Safari ya Gym Baada ya Mashabiki Kumshauri Apunguze Kitambi

Dansa maarufu mitandaoni kutoka Kenya, Moya David, ameanza rasmi safari yake ya mazoezi ya gym kufuatia shinikizo la mashabiki waliomtaka apunguze uzito. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Moya aliposti picha akiwa gym na kuambatanisha ujumbe akisema ni siku yake ya kwanza kufanya mazoezi. Amefichua kuwa mashabiki wengi wamekuwa wakimshauri kupunguza kitambi, akisisitiza kuwa ni kazi […]

Read More