Mr Eazi Afunga Ndoa na Temi Otedola Katika Harusi ya Kifahari Iceland.

Mr Eazi Afunga Ndoa na Temi Otedola Katika Harusi ya Kifahari Iceland.

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Mr Eazi, amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Mwigizaji Temi Otedola, katika sherehe ya kifahari iliyosheheni usiri mkubwa, iliyofanyika nchini Iceland. Harusi hiyo ilifanyika Ijumaa, tarehe 8 Agosti 2025, ndani ya Kanisa maarufu la Hallgrímskirkja lililopo mjini Reykjavik. Tukio hilo lilihudhuriwa na familia na marafiki wa karibu pekee, akiwemo mama […]

Read More