MR. SEED AWEKA REKODI BOOMPLAY KUPITIA BLACK CHILD ALBUM

MR. SEED AWEKA REKODI BOOMPLAY KUPITIA BLACK CHILD ALBUM

Nyota wa muziki nchini Mr. Seed anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Albamu yake ya “Black Child” ambayo tayari ina takriban miezi miwili tangu itoke rasmi. Album ya “Black Child” ambayo ndio albamu ya kwanza ya Mr. Seed tangu aanze muziki imefanikiwa kufikisha zaidi ya Streams millioni mbili kwenye mtandao wa kusikiliza na […]

Read More