MRITHI WA OLE GUNNAR KITENDAWILI ULAYA

MRITHI WA OLE GUNNAR KITENDAWILI ULAYA

Kocha wa Paris St-Germain ambaye ni raia wa Argentina Mauricio Pochettino anatajwa kuwa kwenye kipaumbele cha kwanza katika kazi ya kuinoa Manchester United baada ya klabu hiyo kumfuta kazi ya ukocha Ole Gunnar Solskjaer, makocha wengine ni kocha wa Ajax Erik ten Hag na Zinedine Zidane. Manchester United imefanya mazungumzo tena na kocha wa Leicester […]

Read More