Mungai Eve Akanusha Taarifa za Kujutia Kuachana na Director Trevor
Content creator maarufu wa mtandaoni, Mungai Eve, amekanusha vikali madai yanayosambaa mtandaoni kuwa anajutia uamuzi wake wa kuachana na mpenzi wake wa zamani, Director Trevor. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mungai Eve amesema taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote. Alibainisha kuwa hajawahi kutoa kauli yoyote inayodai kuwa anapitia msongo wa mawazo au […]
Read More