LOUI APOKEZWA CHETI CHA PLAQUE NA RECORDING INDUSTRY OF SOUTH AFRICA

LOUI APOKEZWA CHETI CHA PLAQUE NA RECORDING INDUSTRY OF SOUTH AFRICA

Msanii kutoka Tanzania Loui ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuwa na wimbo uliofikisha hadhi ya Platinum nchini Afrika Kusini. Rekodi hiyo imewekwa kupitia wimbo wa SELEMA alioshirikiana na Musa Keys ambaye ni msanii na mtayarishaji kutoka nchini Afrika Kusini. Kwenye mkutano na Waandishi wa habari, mwimbaji huyo ametuonesha Certificate ‘Plaque’ […]

Read More