Mwanamuziki wa Kenya Muthaka ashinda tuzo AFRIMA
Mwimbaji wa nyimbo za Soul nchini Kenya Muthaka ameshinda tuzo ya Kimataifa inayofanyika Afrika kila mwaka maarufu kama AFRIMA. Katika tuzo hizo zilizofanyika Jijini Dakar nchini Senegal siku ya Jumapili ya tarehe 15 Januari 2023 Muthaka amefanikiwa kushinda tuzo hiyo katika kipengele cha “Best Female Artiste in East Africa” ambapo amewashukuru mashabiki zake kumpigia kura. “Thank […]
Read More