PICHA YA MUTHONI THE DRUMMER QUEEN YATUMIKA KAMA COVER LA NEW YORK TIMES BILLBOARD
Rapa wa kike nchini Muthoni the Drummer Queen anazidi kuchana mbuga kimataifa, hii ni baada ya picha yake kutumika kama cover la bango la New York Times Billboard la Nchini Marekani. Picha ya Muthoni the Drummer Queen imerushwa mubashara kwenye bango la Times Square baada ya kutajwa kama kama msanii wa mwezi Disemba kupitia mpango […]
Read More