ANGELINA ATANGAZA KUACHA MUZIKI
Nyota wa muziki nchini uganda Angelina amedokeza mpango wa kuachana kabisa na masuala ya muziki. Angelina ameweka wazi hayo kupitia ukurasa wake wa twitter ambapo amesema ataacha muziki mwaka wa 2022 baada ya kuachia project yake ya mwisho ambayo amekuwa akiifanyia kazi kwa muda. Kulingana na mrembo huyo baada ya kuacha muziki ataelekeza nguvu zake […]
Read More