MWALIMU RACHEL AISIMAMISHA TWITTER KWA TUHUMA ZA KUISAMBARATISHA KUNDI LA SAILORS GANG
Aliyekuwa meneja wa kundi la Sailors Gang Mwalimu Rachel ameusimamisha mtandao wa Twitter kwa Jina lake kukaa namba 9 kwenye orodha ya βTopicsβ ambazo zinazungumzwa zaidi kwenye mtandao huo nchini Kenya. Hadi sasa mtandao huo unaonesha jina la Mwalimu Rachel limeongelewa kwenye zaidi ya Tweets 2,562 ikiwa ni masaa machache tu tangu member wa Sailor […]
Read More