MENEJA WA HAPPY C AFUNGUKA JUU YA UGOMVI NA MSANII WAKE

MENEJA WA HAPPY C AFUNGUKA JUU YA UGOMVI NA MSANII WAKE

Meneja wa msanii Happy C, Mwaringa amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ugomvi wake na msanii huyo kutoka 001 Music. Katika mahojiano yake na podcast ya Captain Nyota, Mwaringa ambaye yupo chini ya Uptown Records amekiri kuwa Happy C alikuwa na deni lake kitu ambacho amedai kuwa lilimfanya kutokuwa na maelewano  mazuri naye ila kwa sasa wamezika tofauti […]

Read More