Mwijaku: Diamond Aliiba Nyota ya Kassim Mganga Usiku wa Valentine
Mdau wa burudani Mwijaku amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kudai kuwa msanii wa Bongofleva Kassim Mganga ameisha kimuziki kufuatia tukio la Diamond Platnumz kubusu viatu vyake akiwa jukwaani usiku wa Valentine’s. Akizungumza kupitia majukwaa ya kijamii, Mwijaku amedai kuwa tukio hilo halikuwa la kawaida, akisema Diamond alitumia fursa hiyo kuiba nyota ya mafanikio ya […]
Read More