Mwijaku Amlilia Mke Wake Amrudie Baada ya Kuguswa na Uchumba wa Harmonize na Kajala
Mtangazaji na mdau wa burudani kutoka Tanzania, Mwijaku, amegusa hisia za mashabiki zake baada ya kumlilia mke wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii, akimuomba arejee katika maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku alishiriki video ya wasanii Harmonize na Kajala Masanja wakifurahia maisha mara baada ya kuvishana pete ya uchumba. Video hiyo ilionekana kumgusa […]
Read More