EX WEEZDOM, MYLEE STACY ATISHIA KUFUNGULIA MASHTAKA MSANII HYO KWA KUMZUSHIA TUHUMA ZA UONGO

EX WEEZDOM, MYLEE STACY ATISHIA KUFUNGULIA MASHTAKA MSANII HYO KWA KUMZUSHIA TUHUMA ZA UONGO

Mpenzi wa zamani wa msanii Weezdom, Mylee Stacy ametishia kumchukulia hatua kali za kisheria msanii huyo mara baada ya hivi majuzi  kumporomeshea matusi mazito kwa madai ya kuingilia mahusiano yake mapya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mylee Stacy  amepost AOB ikionyesha namna ameandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Ruaka jijini  Nairobi huku akisema kuwa […]

Read More