Mzagatas Aunda Mtindo Mpya wa Muziki, Auita Jabatone Jabament
Msanii anayekuja kwa kasi nchini Kenya, Mzagatas, ambaye alijizolea umaarufu kupitia wimbo wake maarufu “Kasa Anisaka”, amefichua kuwa muziki wake hauna uhusiano wowote na mitindo inayojulikana kama Gengetone au Arbantone. Akizungumza kwenye mahojiano na Ghetto Radio, Mzagatas alieleza kuwa sauti na mtindo wake ni tofauti kabisa na ameamua kuipa utambulisho wake wa kipekee uitwao “Jabatone […]
Read More