MZEE YUSUPH AMUASHIA MOTO DIAMOND PLATINUMZ KISA KUKATAA TUZO
Mwimbaji nyota wa muziki wa taarabu nchini Tanzania Mzee Yusuph ambaye pia ni moja ya viongozi wa Baraza la Sanaa Tanzania , ameonesha kutokubaliana na kitendo cha mwanamuziki Diamond Platnumz kukataa kushiriki katika tuzo zilizo andaliwa na serikali kupitia baraza hilo. Mzee Yusuph amedai kuwa ni vyema kwa msanii kama Diamond Kushiriki tuzo hizo ili […]
Read More