NAAVA THE QUEEN APUZILIA MBALI TUHUMA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA WANASIASA
Mwigizaji kutoka Kenya Naava The Queen amepuzilia mbali madai ya kutembea kimapenzi na wanasiasa. Hii ni baada ya walimwengu kuhoji kuwa maisha ya kifahari anayoonesha mtandaoni yanafadhiliwa na wanasiasa ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi. Sasa kwenye mahojiano yake mapya Naava The Queen amezima tetesi hizo kwa kusema kwamba hayana msingi wowote kwani maisha ya kifahari […]
Read More