NACADA Yajibu Bien: “Sio Unafiki Bali Ni Hatua ya Kulinda Afya ya Umma”
Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Matumizi ya Dawa za Kulevya (NACADA) imejibu vikali matamshi ya msanii Bien wa kundi la Sauti Sol, aliyekosoa pendekezo la kuwapiga marufuku wasanii na watu mashuhuri kutangaza bidhaa za vileo. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, NACADA imesisitiza kuwa hatua hiyo haifungamani na unafiki wa maadili wala juhudi za kukandamiza […]
Read More