NADIA MUKAMI NA MEJJA MBIONI KUACHIA COLLABO MATATA

NADIA MUKAMI NA MEJJA MBIONI KUACHIA COLLABO MATATA

Staa wa muziki nchini Nadia mukami ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirisha mkali wa muziki nchini Mejja Kupitia ukurasa wake wa instagram Nadia Mukami Amepost clip fupi kutoka kwenye wimbo wake mpya na mejja huku akiwataarifu mashabiki wake wakae mkao wa kula kuipokea ngoma yao mpya kwa jina la “Legeza” ambayo itaachiwa rasmi […]

Read More