Nadia Mukami Afichua Anatarajia Mtoto Mwingine na Arrow Bwoy
Mwanamuziki nyota wa Kenya, Nadia Mukami, amefichua kuwa anatarajia mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye pia ni msanii maarufu, Arrow Bwoy. Kupitia ujumbe wa hisia aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Nadia alisema anajisikia kubarikiwa mno, huku akieleza namna ujio wa mtoto wao wa kwanza ulivyobadili maisha yake kwa njia chanya. “Naamini watoto huja na […]
Read More