NAHREEL WA NAVY KENZO AKANUSHA MADAI YA KUPOKONYWA NYOTA YAO NA DIAMOND PLATNUMZ
Msanii na Prodyuza, Nahreel kutoka kundi la Navy Kenzo amesema sio kweli kwamba Diamond Platnumz anachukua nyota za wasanii mwenzake kupitia kolabo bali ni mipango ya wasanii wenyewe. Akizungumza hilo, Nahreel amesema mashabiki huwa wanaongea vitu vingi na ni haki yao kwa sababu wanahitaji huduma yao mara kwa mara, wanapokaa kimya wanaona kama wamepotea au […]
Read More