NAIBOI AACHIA RASMI OTERO EP
Mkali wa muziki nchini Naiboi ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Otero EP. Otero EP ina jumla ya ngoma tisa za moto na bonus track moja ambazo zimetayarishwa na maprodyuza kama Baseman 254, Hamadoo on the Beat pamoja Naiboi mwenyewe. Lakini pia hitmaker huyo wa “usipime mwanaume” amewashirikisha wakali kama nyashinski, Arrow […]
Read More