Nameless Amwaga Sifa kwa Msanii Chipukizi kwa Kufanya Cover ya Nasinzia

Nameless Amwaga Sifa kwa Msanii Chipukizi kwa Kufanya Cover ya Nasinzia

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Kenya, Nameless, amemwagia sifa msanii chipukizi Lafayette baada ya kuimba kwa ustadi cover ya wimbo wake uitwao Sinzia. Hii ni baada ya Cover hiyo kupokelewa vyema mtandaoni, huku mashabiki wakisifu ubunifu na uimbaji wa msanii huyo mpya kwenye tasnia. Kupitia Instastory kwenye mtandao wa Instagram, Nameless ameonyesha furaha yake kuona […]

Read More
 Wyre, Nameless na Jua Cali kutengeneza bendi ya muziki

Wyre, Nameless na Jua Cali kutengeneza bendi ya muziki

Msanii mkongwe nchini, Wyre amedokeza mpango wa kuunda bendi ya muziki itakayojumuisha wasanii wa kizazi kipya pamoja na wa zamani. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, amepost video akitoa tangazo hilo ambapo amesema wameungana na kutengeneza timu ya malejendari wa muziki. “Kuna nini jamani. Kwa kawaida sifanyi hivi. Imekuwa zaidi ya miaka 20 katika kufanya jambo […]

Read More
 Nameless awajibu kisomo wanaomshinikiza kupata mtoto wa kiume

Nameless awajibu kisomo wanaomshinikiza kupata mtoto wa kiume

Msanii nyota nchini Nameless amewajibu walimwengu wanaomshinikiza kuzaa mtoto wa kiume kama njia ya kudhihirisha uanaume wake katika jamii. Akimjibu shabiki mmoja aliyemtaka aweke mkakati wa kumpata mtoto wa kiume na mke wake Wahu kwenye mtandao wa Facebook, Nameless amesema anajivunia kuwa baba ya watoto wa kike na lengo lake kwa sasa ni kuwalea mabinti […]

Read More
 Wahu na Nameless wapata mtoto wa kike

Wahu na Nameless wapata mtoto wa kike

Lejendari wa muziki nchini  Nameless  amethibitisha kuwa mke wake Wahu amejifungua mtoto wa kike. Nameless ameeleza furaha yake kupitia mitandao yake ya kijamii kwa Wahu kujifungua salama, akimshukuru Mungu pamoja na mashabiki zake ambao wamekuwa mstari wa mbele kuwaombea dua kwa kusema kuwa mke yupo tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto wao Aidha amesema mtoto […]

Read More
 Wahu na Nameless waweka wazi jinsia ya mtoto wao

Wahu na Nameless waweka wazi jinsia ya mtoto wao

Staa wa muziki nchini Wahu ameweka wazi jinsia ya mtoto wake wa tatu ambaye atazaliwa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video ya hafla ya utambulisho wa jinsia ya mtoto wao na kusindikiza na maneno yanayosomeka “BabaGalz Chairman honored, excited and ready for Duty! Ujumbe huo umetafsiri moja kwa moja na watumiaji wa […]

Read More
 ROBERT ALAI APINGA MSWADA WA NAMELESS KUTAKA BARABARA MOJA NAIROBI KUPEWA JINA LA E-SIR

ROBERT ALAI APINGA MSWADA WA NAMELESS KUTAKA BARABARA MOJA NAIROBI KUPEWA JINA LA E-SIR

Mwanablogu aliyegeukia siasa nchini Robert Alai amekosoa pendekezo la Nameless kutaka barabara moja jijini Nairobi lipewa jina la marehemu E-sir kama njia moja ya kutambua mchango wake katika tasnia ya muziki nchini. Kulingana na Alai pendekezo la Nameless limepitwa na wakati na ingekuwa vyema kituo cha kukuza vipaji vya wasanii ingebuniwa na kisha kupewa jina […]

Read More
 WAHU NA NAMELESS WASHEREKEA MIAKA 17 YA NDOA

WAHU NA NAMELESS WASHEREKEA MIAKA 17 YA NDOA

Wanamuziki David Mathenge maarufu kama Nameless na Wahu Kagwi wametimiza miaka 17 ya ndoa na miaka 25 tangu wayaanze mahusiano yao. Wawili hao ambao walianza mahusiano yao mwaka 1997 walifanikiwa kufunga ndoa mwaka 2005 na katika ndoa yao wamebahatika kupata watoto wawili, wote wakiwa wakike. Leo, Septemba 10 ni anniversary yao, ambapo wametimiza miaka 12 […]

Read More
 PENZI LA JULIANA KANYAMOZI LAMKOSESHA USINGIZI NAMELESS

PENZI LA JULIANA KANYAMOZI LAMKOSESHA USINGIZI NAMELESS

Msanii mkongwe nchini Nameless ameshindwa kuficha mapenzi yake kwa msanii wa kike nchini Uganda Juliana Kanyamozi. Katika mahojiano yake hivi karibuni Nameless amesema asingekuwa ameoa  angemchumbia mwanamuziki huyo kwa kuwa ni mrembo, ana kipaji cha kipekee lakini pia ni mchapa kazi. Hitmaker huyo wa ngoma “Deep” ameenda mbali zaidi na kusema kwamba wamekuwa marafiki kwa […]

Read More
 NAMELESS NA WAHU WANATARAJIA MTOTO WA TATU

NAMELESS NA WAHU WANATARAJIA MTOTO WA TATU

Wanamuziki David Mathenge maarufu kama Nameless na Wahu Kagwi wametangaza kwamba wanatarajia mtoto wao wa tatu. Wawili hao walitoa tangazo hilo kupitia video ambayo waliichapisha kwenye mitandao ya kijamii. Tumiso ndiye kifungua mimba wa wanamuziki hao ambao walifunga ndoa mwaka 2005 na wa pili ni Nyakio. Ndoa ya wanamuziki hao imedumu muda mrefu kinyume na […]

Read More