Nandy Ampongeza Yammi Siku ya Kuzaliwa Licha ya Kuondoka The African Princess
Mwanamuziki nyota wa Bongofleva , Nandy, ameonyesha kuwa bado ana upendo na heshima kwa Yammi licha ya kumaliza rasmi mkataba wa kimuziki na nyota huyo wa muziki. Kupitia Insta Story kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nandy ambaye mkurugenzi wa lebo ya The African Princess amempongeza Yammi kwa siku yake ya kuzaliwa, akimtakia kheri na mafanikio […]
Read More