NASHA TRAVIS AKIRI KIKI INA MCHANGO MKUBWA KWA WASANII

NASHA TRAVIS AKIRI KIKI INA MCHANGO MKUBWA KWA WASANII

Msanii Nasha Travis amedai kuwa kiki zinaweza kuwa na mchango fulani katika muziki wa msanii tofauti na watu wengi ambao hupinga suala hilo. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Nasha amesema anaona ni sawa tu kwa wasanii kutengeneza matukio ili wazungumziwe mtandaoni kwani inasaidia kwa kiasi kikubwa kuinua muziki wao. Katika hatua nyingine Mrembo huyo ambaye […]

Read More
 NASHA TRAVIS ADAI ATOA RAI KWA WASANII WA KENYA KUPUNGUZA KIKI

NASHA TRAVIS ADAI ATOA RAI KWA WASANII WA KENYA KUPUNGUZA KIKI

Msanii wa kike nchini Nasha Travis amewaomba wasanii wa Kenya kupunguza kiki na kuongeza bidii katika muziki. Katika mahojiano na podcast ya Nicholas Kioko kwenye mtandao wa Youtube, Nasha Travis amewataka wasanii nchini wazingatie suala la kutayarisha muziki mzuri badala ya kiki ambazo hazina msingi wowote. Kulingana na Nasha, muziki ni kama bidhaa na mashabiki […]

Read More
 NASHA TRAVIS AACHIA RASMI THE AFRICAN SOUND QUEEN EP

NASHA TRAVIS AACHIA RASMI THE AFRICAN SOUND QUEEN EP

Msanii kike nchini Nasha Travis ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la  The African Sound Queen Ep   . The African Sound Queen Ep ina jumla ya ngoma 6 za moto na bonus track moja ambazo  zimetayarishwa na maprodyuza kama  Kashkeed, Alexis on the beat, Bonga pamoja na Mumo beats. Lakini pia mrembo huyo amewashirikisha wakali kama Madini […]

Read More