Swangz Avenue yamfuta kazi meneja wa Vinka kwa madai ya utapeli
Lebo ya Swangz Avenue imethibitisha kumfuta kazi meneja wa msanii wao Vinka kwa madai ya kufuja pesa za booking. Katika taarifa iliyotolewa na Swangz Avenue, meneja huyo aitwaye Navit Miles hafanyi kazi tena na Lebo hiyo huku ikionya umma kutoshirikiana na Navit kwenye biashara yeyote inayohusiana na Swangz Avenue. Chanzo cha karibu na lebo hiyo […]
Read More