Navy Kenzo watajwa kushirikishwa kwenye album ya Kampuni ya EMPIRE
Kundi la muziki maarufu kutoka nchini Tanzania Navy Kenzo wametajwa kuwa ni moja wapo ya wasanii watakao unda tracklist ya album iliyoandaliwa na Kampuni ya usambazaji wa muziki ya EMPIRE iliyopo San Francisco, Marekani. Taarifa hiyo ambayo imethibitishwa na ukurasa rasmi wa instagram wa Empire Africa pia ikiandikwa kwenye tovuti kubwa kama Billboard, Hot97 na Variety za […]
Read More