NAZIZI HIRJI AOMBOLEZA KIFO CHA PRODYUZA MWAX THE HERBALIST

NAZIZI HIRJI AOMBOLEZA KIFO CHA PRODYUZA MWAX THE HERBALIST

Taarifa za kìfo cha prodyuza mkongwe nchini Mwax the Herbarlist imemuacha msanii wa muziki Nazizi Hirji na majonzi mengi kutokana na mchango wake kwenye tasnia ya muziki nchini. Akizungumza na mpasho Nazizi ambaye alikuwa rafiki wa mwenda zake amemkumbuka prodyuza huyo kama moja ya watu waliokuwa nguzo muhimu kwenye muziki wake huku akisema kifo chake […]

Read More