NBA YoungBoy Kuachia Albamu Mpya Siku ya Uhuru Marekani

NBA YoungBoy Kuachia Albamu Mpya Siku ya Uhuru Marekani

Rapa maarufu wa Marekani, NBA YoungBoy, ametangaza kupitia Insta Story yake kuwa ataachia albamu mpya tarehe 4 Julai 2025, siku ya Uhuru wa Marekani. Tarehe hiyo ina uzito mkubwa kihistoria, na tangazo hilo limeibua hisia tofauti kwa mashabiki wake. Wengi wamelitafsiri tangazo hilo kama njia ya kuadhimisha uhuru wake binafsi, baada ya kuachiwa kutoka gerezani […]

Read More
 BIFU LA RAPA LIL DURK NA NBA YOUNGBOY LACHUKUA SURA MPYA

BIFU LA RAPA LIL DURK NA NBA YOUNGBOY LACHUKUA SURA MPYA

Rapa kutoka nchini Marekani Lil Durk amevunja kimya chake kuhusu kinachoendelea mtandaoni kati yake na NBA Youngboy. Lil Durk kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa amelalia pesa nyingi na kuandika ujumbe “mpuuzi” uliotafsiriwa kuwa ni jibu kwa NBA Youngboy Lil Durk ametoa kauli hiyo baada ya rapa NBA Youngboy kum-diss pamoja na label […]

Read More
 RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

RAPPER NLE CHOPPA AZICHAPA NA SHABIKI WA NBA YOUNGBOY BAADA KURUSHIANA MANENO MAKALI WAKIWA AIRPORT

Rapa NLE Choppa kutoka nchini Marekani wamerushiana makonde na shabiki wa rapa NBA YoungBoy baada ya kuingia kwenye ugomvi  wakiwa uwanja wa ndege. Inasemekana kuwa ngumi ya kichwa na ya shingo vilitosha kumuangusha chini shabiki huyo ambaye alibamiza kichwa chini baada ya kuanguka na kulala hapo hapo. Sababu ya ugomvi huo inasemekana kuwa ni baada […]

Read More