NOTI FLOW ATAMANI KUWA NA MWANAUME LICHA YA KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA
Msanii Noti Flow amesema yuko tayari kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume iwapo mchumba wake huyo atamruhusu awe na rafiki wa kike. Kwenye kikao ya maswali na majibu pamoja na mashabiki katika mtandao wa Instagram mrembo huyo amesema wanawake wengi udanganya kushiriki mapenzi ya jinsia moja ilhali nyuma ya pazia wanatoka kimapenzi na wanaume, […]
Read More