Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu ya Mpira wa Mikono Zazidi Kupamba Moto
Mechi za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya mpira wa mikono nchini zinatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwenye uwanja wa Nyayo, huku kivumbi kikitarajiwa kati ya vinara wa ligi ya wanaume NCPB na wapinzani wao wakuu Equity. Timu zote mbili hazijapoteza mechi yoyote msimu huu, na mchezo wao unatarajiwa kuwa wa kuamua bingwa, hasa ikizingatiwa kuwa […]
Read More