PRODYUZA WA NDOVU KUU AWASHAURI VIJANA KUWEKA AKIBA
Msanii wa muziki nchini Krispar amewataka vijana kujenga tabia ya kuweka akiba kwa kuwa itawasaidia wakati wa matatizo. Katika mahojiano yake na Kiss TV Krispar kuu amesema vijana wengi wamekuwa na mazoea ya kutumia pesa kwenye masuala ya starehe na anasa, jambo ambalo limepelekea baadhi yao kutotimiza malengo yao katika maisha. Msaniii huyo amesema licha […]
Read More