MASHABIKI WAMJIA JUU MKE WA NE-YO KWA KUDANGANYA AMEACHANA NA MUME WAKE
Baada ya kashfa nzito inayomkabili Ne-yo, iliyovujishwaa na mkewe bibie Crystal Smith mwishoni mwa wikiendi kuhusu mwanamuziki huyo kujihusisha na vitendo vya usaliti, kwa kutoka kimapenzi na wanawake wenye kufanya biashara ya kuuza miili yao , na kisha Crystal kuweka wazi maamuzi yake kuwa sio mke tena wa Ne-yo, mapya yaibuka! Kwenye moja ya video […]
Read More