NELLY THE GOOD AKIRI KUSHINDWA NA MUZIKI KISA MSONGO WA MAWAZO
Msanii wa Gengetone, Nelly the Goon amekiri hadharani kuwa anapitia wakati mgumu kwenye maisha kiasi cha kushindwa kuendelea na harakati za kuupambania muziki wake. Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram msanii huyo ametoa ya moyoni kwa kusema kwamba hali yake sio nzuri kwa sasa kwani ameathirika kiroho, kiakili na kiuchumi. Mwanamuziki huyo wa […]
Read More