Newcastle Yamsajili Malick Thiaw Kutoka AC Milan
Klabu ya Newcastle United imethibitisha kumsajili rasmi beki wa kati wa AC Milan, Malick Thiaw, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kuwa pauni milioni 30.2, pamoja na marupurupu yanayoweza kufikia pauni milioni 4.3. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, mzaliwa wa Düsseldorf nchini Ujerumani, amejiunga na Newcastle baada ya kipindi cha mafanikio akiwa na miamba […]
Read More