VIVIAN AICHANA KAMPUNI YA NGOMMA KWA KUPORA MIRABAHA YA NYIMBO ZAKE

VIVIAN AICHANA KAMPUNI YA NGOMMA KWA KUPORA MIRABAHA YA NYIMBO ZAKE

Female singer kutoka Kenya Vivian ameamua kuichana Kampuni inayoongoza katika kusambaza muziki na kukusanya mirabaha ya wasanii huru, Ngomma,  kwa kile anachodai kwamba haijamlipa pesa zake zilizotokana na muziki wake kuuzwa. Kupitia waraka mrefu aliouandika kwenye mtandao wa Instagram Vivian amesema hajalipwa na hafahamu ni kiasi gani cha pesa Kampuni ya Ngomma imeingiza kutoka kwenye […]

Read More