Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo kwa tuhuma za kuichafu brand yake ya muziki. Kupitia barua ya mawakili wake, Nicah ametoa makataa ya siku saba kwa Jalamo kutumia mtandao wake wa kijamii wa Facebook kuomba msamaha kwa kujaribu kuvunja ndoa yake, […]

Read More
 NICAH THE QUEEN NA AMBER RAY WAINGIA KWENYE BIFU KISA WANAUME

NICAH THE QUEEN NA AMBER RAY WAINGIA KWENYE BIFU KISA WANAUME

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Niccah The Queen amezua mjadala mzito mtandaoni mara baada ya kumchana soshalaiti maarufu nchini Amber Ray kupitia ujumbe wake aliokuwa anatoa rai kwa wanawake wenzake kuwaombea waume zao kutokana na majaribu wanayokumbana nayo maishani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nicah The Queen amesema kwamba hana ugomvi wowote na Amber […]

Read More