RASMI: NICCAH THE QUEEN ATHIBITISHA KUACHANA NA DJ SLAHVER

RASMI: NICCAH THE QUEEN ATHIBITISHA KUACHANA NA DJ SLAHVER

Msanii wa nyimbo za injili nchini Niccah The Queen ameweka wazi kuwa yeye na mchumba wake DJ Slahver wameachana. Niccah amebainisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amesema amechukua maamuzi ya kuachana na mpenzi wake huyo baada ya kuafikia makubaliano ya pamoja huku akimtakia kila la kheri kwenye maisha yake mpya. Hata hivyo Niccah […]

Read More
 NICAH THE QUEEN AWAPA SOMO WANAWAKE KUHUSU UTARATIBU WA ULEZI WA PAMOJA KWA WATOTO (CO-PARENTING)

NICAH THE QUEEN AWAPA SOMO WANAWAKE KUHUSU UTARATIBU WA ULEZI WA PAMOJA KWA WATOTO (CO-PARENTING)

Female singer kutoka Kenya Nicah The Queen ametoa changamoto kwa wanawake wenzake kujishusha na kushirikiana na wapenzi wao wa zamani kuwalea watoto wao waliozaa nje ya ndoa badala ya kuendekeza kiburi na majivuno. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nicah The Queen amesema kiburi na majivuno imewaponza wanawake wengi na kuwafanya kuona utaratibu ulezi wa pamoja […]

Read More