NICK CANNON ATAMANI PENZI LA MARIAH CAREY

NICK CANNON ATAMANI PENZI LA MARIAH CAREY

Ni miaka 8 imepita tangu ndoa yao ivunjike lakini Nick Cannon bado analikumbuka penzi lake na Mariah Carey. Kwenye mahojiano na Podcast ya The Hottee Talk Show, Cannon amesema hatoweza kuwa na upendo tena kama aliowahi kuwa nao akiwa na Mariah Carey. Aidha ameongeza kwa kusema, anaweza kurudiana na Mariah Carey kama mambo yatakuwa kama […]

Read More