Nicki Minaj Atishia Kufichua Ukweli kwa FBI na CIA Kufuatia Kisa cha Tory Lanez Kudungwa Kisu

Nicki Minaj Atishia Kufichua Ukweli kwa FBI na CIA Kufuatia Kisa cha Tory Lanez Kudungwa Kisu

Malkia wa muziki wa Hiphop duniani Nicki Minaj ameibua taharuki baada ya kudai kuwa anahisi tukio la Tory Lanez kudungwa kisu gerezani lilikuwa njama ya makusudi. Nicki sasa anasema yuko tayari kuzungumza na mashirika ya upelelezi ya Marekani, FBI na CIA, kuhusu kile anachodai kuwa ni mtandao wa vitisho vinavyohusisha watu wenye ushawishi mkubwa kwenye […]

Read More
 Nicki Minaj Afunguka Kuhusu Sakata la Deni la Tidal

Nicki Minaj Afunguka Kuhusu Sakata la Deni la Tidal

Mwanamuziki maarufu wa hip hop, Nicki Minaj, ameibua shinikizo kwa rapa na mwekezaji, Jay-Z, akidai kuwa anamdai kati ya dola milioni 100 hadi 200 baada ya kuuza mtandao wa kusikiliza muziki wa TIDAL mwaka 2021. Katika madai haya ambayo yamezua gumzo mitandaoni, Nicki amesema kuwa alikuwa mmoja wa wasanii wa awali kumiliki sehemu ya mtandao […]

Read More
 Nicki Minaj afichua kuwa alifikiria kuacha muziki kutokana na ukosoaji na changamoto za kazi

Nicki Minaj afichua kuwa alifikiria kuacha muziki kutokana na ukosoaji na changamoto za kazi

Rapa maarufu Nicki Minaj amefunguka kuhusu changamoto kubwa alizokumbana nazo katika maisha yake ya muziki. Katika mahojiano na Vogue Italia, Minaj amesema kuwa mara kadhaa alifikiria kuacha kabisa kazi kutokana na ukosoaji wa mara kwa mara na shinikizo la umaarufu. Amesema kuwa licha ya mawazo hayo ya kukata tamaa, aliamua kuendelea kusonga mbele. “Nimesikia ukosoaji […]

Read More
 Nicki Minaj Aonyesha Upendo kwa Wasanii Chipukizi

Nicki Minaj Aonyesha Upendo kwa Wasanii Chipukizi

Malkia wa muziki wa Rap kutoka Marekani Nicki Minaj ameonyesha upendo kwa kizazi kipya cha wasanii katika mahojiano mapya na Vogue Italia. Rapa huyo mwenye mafanikio makubwa alimtaja Sabrina Carpenter kama msanii anayemvutia kwa ubunifu na mvuto wa kipekee, akieleza kuwa aligundua kipaji chake hivi karibuni licha ya Carpenter kuwa kwenye muziki kwa muda. “Sabrina […]

Read More
 IGGY AZALEA AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA NICKI MINAJ

IGGY AZALEA AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA NICKI MINAJ

Rapa Iggy Azalea amekanusha kuwa kwenye bifu na Nicki Minaj, Iggy ameibuka na kujibu shutuma hizo kufuatia Tweet ya New York Post ambayo ilianika wasanii wa Kike ambao wamewahi kuwa kwenye ugomvi na Nicki Minaj akiwemo Cardi B, Mariah Carey na Miley Cyrus. Iggy alishuka kwenye comment na kukanusha hilo kwa kusema kwanini amewekwa kwenye […]

Read More
 NICKI MINAJ AMFIKIA RIHANNA KWA IDADI YA VIDEO ZILIZOFIKISHA VIEWS BILLIONI 1 YOUTUBE

NICKI MINAJ AMFIKIA RIHANNA KWA IDADI YA VIDEO ZILIZOFIKISHA VIEWS BILLIONI 1 YOUTUBE

Malkia wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani Nicki Minaj amemfikia Rihanna kwa idadi ya video ambazo zimefikisha Jumla ya views Bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube. Minaj amefikisha video 8, sawa na Rihanna. Rapa huyo amefikia hatua hiyo kupitia video aliyoshirikishwa na Justin Bieber “Beauty And A Beat” ambayo pia inamfanya Justin Bieber kufikisha video 11 zenye idadi […]

Read More