DR. DRE KUMLIPA EX WAKE ZAIDI YA BILLIONI 11
Mahakama imemuamuru mtayarishaji nguli wa muziki duniani Dr. Dre kumlipa aliyekuwa mke wake Nicole Young zaidi ya Shilingi bilioni 11za Kenya baada ya kuvunjika kwa ndoa yao Kwa mujibu wa Tmz Dr Dre anatakiwa kuanza kulipa kiwango nusu cha pesa hiyo na nyingine kumalizia ndani ya mwaka mmoja. Hapo awali Nicole Young alitaka agawane mali […]
Read More