Timaya: “Muziki Si Rahisi Tena, Wimbo Mmoja Unahitaji $100K

Timaya: “Muziki Si Rahisi Tena, Wimbo Mmoja Unahitaji $100K

Mwimbaji nguli wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Timaya, amefichua changamoto kubwa inayowakumba wasanii katika sekta ya muziki, hasa linapokuja suala la kukuza kazi zao. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Timaya alisema enzi zimebadilika sana, na kwamba mafanikio katika muziki kwa sasa yanahitaji uwekezaji mkubwa wa kifedha. Amefichua kuwa kwa sasa, msanii anayelenga kufanikisha […]

Read More
 Ruger Afunguka Kuhusu Jeraha Lake la Kwanza la Kihisia Akiwa na Miaka 6 Tu

Ruger Afunguka Kuhusu Jeraha Lake la Kwanza la Kihisia Akiwa na Miaka 6 Tu

Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Ruger, amefunguka kuhusu tukio la kihisia lililomgusa sana alipokuwa na umri wa miaka sita tu. Akiwa mgeni katika kipindi cha The Bro Bants, msanii huyo alisimulia kwa uaminifu jinsi tukio hilo lilivyomwathiri na kumtengeneza katika safari yake ya maisha na mahusiano. Katika mahojiano hayo, Ruger alikumbuka kwa huzuni namna alivyomwona msichana […]

Read More
 Davido Afichua: “Kama Sisingekuwa Msanii, Ningekuwa Mwandishi wa Habari”

Davido Afichua: “Kama Sisingekuwa Msanii, Ningekuwa Mwandishi wa Habari”

Msanii nyota wa Afrobeats kutoka Nigeria, Davido, amewashangaza mashabiki wake kwa kufichua kwamba angekuwa mwandishi wa habari kama hangejikita kwenye muziki. Kauli hiyo ya kushangaza ilitolewa wakati wa mahojiano ya moja kwa moja kwenye Beat 96.1FM, ambako msanii huyo alizungumza kwa undani kuhusu maisha yake nje ya jukwaa. Katika mahojiano hayo, Davido alieleza jinsi ambavyo […]

Read More