NIKKI MBISHI AACHIA ALBUM YAKE MPYA- ‘WELCOME TO GAMBOSHI’
Hatimaye Rapa kutoka nchini Tanzania Nikki Mbishi ameachia rasmi album yake mpya aliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki zake. Hitmaker huyo “Babu Talent” amewabarki mashabiki zake na ‘Welcome to Gamboshi’ album ambayo ina jumla ya nyimbo 22 za moto, ikiwa na kolabo 12 kutoka kwa wakali kama Ally Choki, P Mawenge, Wakazi, Tk Ndendezi, Zaiid pamoja na wengine wengi. Album hiyo kwa sasa inapatikana […]
Read More