Msanii wa Muziki Nina Roz Ashinda Ubunge Uganda Kupitia NUP
Msanii wa muziki nchini Uganda, Nina Roz , ameibuka mshindi katika uchaguzi wa ubunge wa wanawake wa eneo la Sembabule, baada ya kushinda kiti hicho kupitia chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Nina Roz, ambaye ni maarufu pia kwa mchango wake katika tasnia ya muziki, aliwania kiti hicho […]
Read More