Njerae Aahirisha Lover Girl’s Tour ya Australia Kufuatia Changamoto za Visa
Msanii maarufu wa Afro-R&B kutoka Kenya, Njerae, ametangaza kuahirishwa kwa ziara yake ya Lover Girl’s Tour nchini Australia kufuatia changamoto zisizotarajiwa za mchakato wa visa. Kupitia taarifa rasmi iliyochapishwa kwenye mitandao yake ya kijamii, Njerae alieleza kuwa kucheleweshwa kwa mchakato wa visa kumeathiri ratiba ya ziara hiyo ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki […]
Read More